Timu ya uongozi ikiwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa bodi ya Mkonge Tanzania, wakionyeshwa sehemu ya kwanza ya shamba la mkonge mkoani Tanga.